Posted on: July 6th, 2018
Wananchi wilayani Rombo wameshauriwa kutambuana na kutoa taarifa za wageni waliopo majumbani mwao pamoja na majirani zao kwa wenyeviti wa vitongoji na mabalozi, kwa ajili ya usalama wao na mali zao.
...
Posted on: July 2nd, 2018
Picha kwa hisani ya Mtandao
Vita dhidi ya janga la UKIMWI inajumuisha kupima ili kujua hali ya afya yako, kujihadhari na maambukizi, pamoja na kutumia dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI ...
Posted on: June 7th, 2018
“Serikali inaweka alama katika mpaka wa kimataifa kati ya Kenya naTanzania na kujenga barabara zitakazosaidia kufanya patrol, kudhibiti magonjwa ya kuambukiza ya wanadamu na mifugo, utoroshaji wa mifu...