HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO
Orodha ya miradi ya Maendeleo inayoendelea na iliyosimama kutekelezwa
Na |
Aina ya mradi
|
Sekta |
Mahali ulipo |
Hatua ya utekelezaji
|
1 |
Ujenzi wa jengo la Utawala (HQ)
|
Utawala |
Bomani
|
Msingi
|
2 |
Mradi wa maji kijiji cha Shimbi Mashariki
|
Maji |
Shimbi mashariki
|
Utekelezaji unaendelea
|
3 |
Mradi wa maji Kijiji cha Ngareni
|
Maji |
Ngareni
|
Utekelezaji unaendelea
|
4 |
Mradi wa maji Kijiji cha Ushiri
|
Maji |
Ushiri
|
Umekamilika
|
5 |
Mradi wa maji Kijiji cha Kahe
|
Maji |
Kahe
|
Umekamilika
|
6 |
Mradi wa maji Kijiji cha Leto
|
Maji |
Leto
|
Utekelezaji unaendelea
|
7 |
Ujenzi wa OPD awamu ya II katika kituo cha Afya Karume
|
Afya |
Lesoroma
|
Msingi
|
8 |
Ukarabati wa Ofisi ya Idara ya Ardhi
|
Utawala |
Bomani
|
Jengo limepauliwa
|
9 |
Ukarabati wa machinjio Kijiji cha Ibukoni
|
Mifugo |
Ibukoni
|
Uchakavu wa miundombinu
|
10 |
Kukamilisha Ujenzi wa Ofisi ya Kero
|
Utawala |
Bomani
|
Jengo limeshapauliwa (Awamu ya I imekamilika)
|
11 |
Ujenzi wa nyumba ya mtumishi awamu ya II-Mkuu mjini
|
Utawala |
Mkuu mjini
|
Jengo lishapauliwa (Awamu ya I imekamilika)
|
12 |
Ujenzi wa matenki 5 ya kuvunia maji ya mvua katika shule ya msingi Baraka, Kwalamtongi, Keni Aleni, shule ya sekondari Kilamacho na Zahanati ya Ikuini
|
Maji |
Kirongo juu,Marangu,Aleni chini, Kiraeni na Ikuini
|
Utekelezaji unaendelea na Ujenzi upo katika hatua mbalimbali
|
13 |
Ujenzi wa uzio (gate),mfumo wa kutolea taka soko la Mkuu
|
Kilimo |
Mkuu
|
Uchakavu wa miundombinu
|
14 |
Ukamilishaji wa kitalu cha miche ya kahawa ya vikonyo katika Kijiji cha Samanga
|
Kilimo |
Samanga |
Ujenzi wa uzio na ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa machipuzo (VPU)
|
15 |
Ujenzi wa Bweni la Wavulana katika Shule ya Sekondari Mahida
|
Elimu |
Mahida |
Jengo limepauliwa, bado umaliziaji
|
16 |
Ujenzi wa vyoo katika Shule ya Msingi Kikelelwa, Mokombero, Mahorosha na Malowa
|
Elimu |
Kikelelwa,Mokombero,Mahorosha na Kidondoni
|
Kikelelwa Ujenzi wa choo umekamilika na kinatumika.
Mokombero choo cha dharura matundu 4 kimechimbwa Mahorosha shimo la choo limechibwa Malowa choo kimepauliwa |
17 |
Ujenzi wa Ofisi ya vijiji katika kijiji cha Samanga
|
Utawala |
Samanga
|
Ujenzi upo katika hatua za mwisho za umaliziaji
|
18 |
Upandaji wa miche ya miti 300,000 kwenye msitu wa Half Mile
|
Misitu |
Nusu maili |
Miti 215,000 imepandwa katika msitu wa nusu maili
|
19 |
Ukamilishaji wa soko la Holili
|
Kilimo |
Holili |
Awamu ya I imekamilika
|
20 |
Ukamilishaji wa Nyumba moja ya mtumishi katika Zahanati ya Kirongo Chini
|
Afya |
Kirongo chini |
Ujenzi wa boma umekamilika
|
21 |
Ukamilishaji wa Nyumba ya Mtumishi katika Zahanati ya Mengeni Kitasha
|
Afya |
Kitasha |
Hatua za mwisho za umaliziaji
|
22 |
Ukamilishaji wa ujenzi wa Zahanati ya Ngaseni
|
Afya |
Ngaseni |
Hatua ya Lenta na Ujenzi unaendelea
|
23 |
Ukamilishaji wa ujenzi wa Zahanati ya Kisale
|
Afya |
Kisale |
Ujenzi wa boma umekamilika na unaendelea
|
24 |
Ujenzi wa ofisi ya Kijiji cha Nguduni
|
Utawala |
Mahida - Nguduni
|
Jengo lipo hatua ya usawa wa dirisha na Ujenzi umesimama
|
25 |
Ujenzi wa Zahanati ya mawanda mkei
|
Afya |
Mahida - Mahango
|
Eneo lipo, mawe na mchanga na utekelezaji unaendelea
|
26 |
Ujenzi wa madarasa 8 shule ya msingi Kastam
|
Elimu |
Holili
|
Madarasa yamepauliwa na Ujenzi unaendelea
|
27 |
Ujenzi wa ofisi ya Kijiji Mamsera Kati
|
Utawala |
Mamsera Kati
|
Jengo limepauliwa na Ujenzi unaendelea
|
28 |
Ujenzi wa darasa la awali Kijiji cha Kidondoni
|
Elimu |
Chala - Kidondoni
|
Ujenzi umefikia hatua ya Lenta na Ujenzi umesimama
|
29 |
Ujenzi wa ofisi ya Kijiji cha Mengwe Juu
|
Utawala |
Mengwe Juu
|
Jengo limepauliwa na Ujenzi unaendelea
|
30 |
Ujenzi wa ofisi ya Kata ya Manda
|
Utawala |
Manda – Manda Chini
|
Jengo limepauliwa na Ujenzi unaendelea
|
31 |
Ujenzi wa choo cha kisasa shule ya msingi Ngoyoni
|
Elimu
|
Ngoyoni – Ngareni
|
Shimo limechimbwa na utekelezaji unaendelea na utekelezaji unaendelea
|
32 |
Ujenzi wa ofisi ya Kata Ngoyoni
|
Utawala
|
Ngoyoni
|
Jengo limepauliwa na Ujenzi umesimama
|
33 |
Ujenzi wa maabara shule ya Sekondari Mengeni
|
Elimu
|
Mengeni – Mengeni Chini
|
Jengo limepauliwa na kuwekwa meza na utekelezaji unaendelea
|
34 |
Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Mfuruwashe
|
Afya
|
Mengeni - Mfuruwashe
|
Ujenzi upo katika hatua ya msingi
|
35 |
Ujenzi wa darasa la awali shule ya msingi Kwasondo
|
Elimu
|
Shimbi masho
|
Jengo limepauliwa, vioo vimewekwa sakafu na plasta na linatumika
|
36 |
Ujenzi wa madarasa 3 shule ya Sekondari Kwaikuru
|
Elimu
|
Shimbi – Mashami
|
Madarasa yamepauliwa
|
37 |
Ujenzi wa darasa 1 shule ya sekondari Mlambai
|
Elimu
|
Shimbi kwandele
|
Ujenzi umefikia hatua ya lenta
|
38 |
Ujenzi wa madarasa 2 shule ya sekondari Makiidi
|
Elimu
|
Makiidi - Maharo
|
Madarasa yamepauliwa na yanatumika ila bado hayajakamilika
|
39 |
Ujenzi wa Zahanati kijiji cha Ubaa
|
Afya
|
Ubaa
|
Hatua ya kuchimba msingi
|
40 |
Ujenzi wa ofisi ya Kata ya Mrao Keryo
|
Utawala
|
Mrao Keryo
|
Ujenzi umefikia hatua ya lenta
|
41 |
Ujenzi wa Zahanati kijiji cha Keryo
|
Afya
|
Keryo
|
Ujenzi umefikia hatua ya kuweka lenta na utekelezaji unaendelea
|
42 |
Ujenzi wa ofisi ya kijiji cha mrere
|
Utawala
|
Katangara mrere
|
Ujenzi upo katika hatua ya lenta
|
43 |
Ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha Kisale
|
Afya
|
Kisale
|
Ujenzi upo katika hatua ya boma na utekelezaji unaendelea
|
44 |
Ujenzi wa wodi ya Zahanati ya Mahorosha
|
Afya
|
Mahorosha
|
Ujenzi upo katika hatua ya msingi
|
45 |
Ujenzi wa ofisi ya kijiji cha Marangu
|
Utawala
|
Marangu
|
Ujenzi upo katika hatua ya mwisho ya umaliziaji
|
46 |
Ukarabati wa madarasa 3 shule ya msingi Baraka
|
Elimu
|
Kirongo juu
|
Madarasa hayana madirisha, milango, plasta na sakafu imeharibika
|
47 |
Ujenzi wa madarasa 2 shule ya msingi Kiraro
|
Elimu
|
Lesoroma
|
Madarasa yamepauliwa na utekelezaji unaendelea
|
48 |
Ukarabati wa madarasa 4 shule ya msingi Usongo
|
Elimu
|
Kingachi - Leto
|
Utekelezaji unaendelea
|
49 |
Ukarabati wa madarasa shule ya sekondari Nanjara
|
Elimu
|
Nanjara
|
Uchakavu wa miundombinu
|
50 |
Ujenzi wa ukumbi wa mitihani shule ya sekondari Urauri
|
Elimu
|
Urauri
|
Ujenzi umefikia hatua ya lenta
|
51 |
Ujenzi wa ofisi ya kata ya Reha
|
Utawala
|
Reha - Nesae
|
Jengo limepauliwa na kuwekwa milango
|
52 |
Ujenzi wa nyumba ya mganga Zahanati ya Kikelelwa
|
Afya
|
Kikelelwa
|
Nyumba imepauliwa na utekelezaji umesimama
|
53 |
Ujenzi wa Zahanati ya kijiji cha Nduweni
|
Afya
|
Mbomai
|
Ujenzi umefikia hatua ya lenta
|
54 |
Ukarabati wa madarasa 3 na Ujenzi wa darasa la awali shule ya msingi Endoneti
|
Elimu
|
Endoneti
|
Utekelezaji unaendelea
|
55 |
Ujenzi wa jiko la kisasa shule ya msingi Kwangao
|
Elimu
|
Kelamfua
|
Awamu ya I Ujenzi imekamilika
|
56 |
Ujenzi wa jiko shule ya Sekondari Horombo
|
Elimu
|
Ibukoni
|
Jiko na stoo zimejengwa bado Ujenzi wa bwalo
|
57 |
Ujenzi wa Ofisi ya Kijiji cha Kidondoni
|
Utawala
|
Kidondoni
|
Ujenzi umekamilika
|
58 |
Ujenzi wa jengo la Zahanati Kijiji cha Kiraeni
|
Afya
|
Kiraeni
|
Ujenzi upo katika hatua za awali
|
59 |
Ujenzi wa Kituo cha Polisi Kirongo chini
|
Utawala
|
Kirongo chini
|
Ujenzi umefikia hatua ya lenta na utekelezaji umesimama
|
60 |
Ujenzi wa Kituo cha Polisi Ngoyoni
|
Utawala
|
Ngoyoni
|
Ujenzi upo katika hatua ya lenta
|
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved