Posted on: January 9th, 2020
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo Godwin Chacha ametoa mafunzo kwa vikundi 20 vya wanawake, vijana na wenye ulemavu, ambayo yamefanyika katika ukumbi ...
Posted on: November 18th, 2019
Jani la sale ni maarufu miongoni mwa kabila la wachaga, ni jani linaloheshimika sana katika kutatua migogoro na kuombea msamaha . Kwa imani za kichaga mtu yeyote aliyekosea akienda kuomba ...
Posted on: November 8th, 2019
Nia ya serikali ya kufikisha umeme katika kila kijiji imeshatimia katika wilaya ya Rombo ambapo mpaka sasa asilimia mia moja (100%) ya kata zote na vijiji vyake vimeshaguswa na umeme.
H...