Posted on: June 17th, 2019
Kiasi cha shilingi Milioni 138.6 zawanufaisha Vijana 401 wilayani Rombo kupitia mfuko wa maendeleo ya wanawake, vijana na walemavu ambao unatokana na asilimia kumi (10%) ya map...
Posted on: June 14th, 2019
Wananchi wa vijiji vya Katangara na Mrere wameridhia kuchangia deni la wazabuni kiasi cha shilingi milioni 23,744,000.00 ambalo limetokana na kukopa vifaa vya ujenzi wa maabara ya kisasa ya baiolojia ...
Posted on: March 30th, 2019
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Dr.Jim Yonazi pamoja na timu yake imefanya ziara wilayani Rombo ili kukagua tatizo la mwingiliano wa mawasiliano ya simu na redio yaliyopo...