Posted on: December 4th, 2024
Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Rombo anawatangazia watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kufika kwenye Mafunzo siku ya Jumapili na Jumatatu tarehe 8/12/2024 hadi tarehe 09/12/20...
Posted on: December 3rd, 2024
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Ndg.Godwin Chacha anawatagazia wananchi wote kuwa, Jengo la zamani la benki ya CRDB linakodishwa kwa gharama nafuu.
Jengo lipo Wilaya ya Rombo,...