PROFAILI YA IDARA YA FEDHA NA BIASHARA
UTANGULIZI.
Idara ya Fedha na Biashara ni mojawapo ya idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kwa Sheria ya Serikali ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa tendo la 8 la 1982 ambalo lilikuwa mwanzilishi wa serikali za mitaa ambayo inabadilisha serikali ya mitaa ya ugatuzi madaraka mikoani ya toleo namba 8 ya mwaka 2002 chini ya ugawaji wa sheria ya mitaa kwa uamuzi idara inajumla ya watumishi 127 kata 28 na vijiji 68 Pamoja na fursa zilichukuliwa ili kuzingatia ufanisi na ufanisi kuzingatia usimamizi wa huduma za umma hasa utekelezaji wa mageuzi ya huduma ya umma inayoendelea na masharti ya huduma yake.
MAJUKUMU YANAYOTEKELEZWA NA IDARA HII NI;
Kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mapato kwa vyanzo vya ndani vya Halmashauri (Collection of Funds from Council own Source such as Local Taxes, Levies, fines and Penalties)
Kusimamia na kuandaa malipo mbalimbali kwa mujibu wa Sheria, Taratibu na kanuni za Serikali na Miongozo ya usimamizi wa fedha za Serikali (LAAM na LAFM).
Kusimamia na kuwezesha utekelezaji wa Maagizo yote yanayotolewa na wakaguzi wa Ndani na kutoka nje (Response of Auditors Observations and recommendation issued from Internal Auditor’s and External Auditor’s such as NAOT, and Others).
Kuandaa taarifa Mbalimbali za Fedha kama:
Mapato na Matumizi ya Kila siku, Mwezi, Robo, Nusu Mwaka na Mwaka mzima
Taarifa elekezi za utekelezaji (CFR, Basket Funds, MMES na MMEM, Taarifa ya Maji, Barabara na N.K)
Taarifa ya Hesabu za Mwisho za Halmashauri kwa kuzingatia mfumo wa uwasilishaji wa Kimataifa (IPSAS) kama ilivyooelekezwa na Serikali
Kusimamia uaandaaji wa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyopo Halmashauri (LAAC) kwa ajili ya kuiwasilisha
Ofisi ya Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za Serikali (CAG) ngazi ya mkoa,
Ofisi ya Mkuu wa mkoa – Katibu Tawala (RAS) na baadae kwenye
Kamati ya Bunge inayosimamia shughuli za LAAC.
Kutoa maelekezo juu ya kanuni za Ki-Uhasibu (As per NBAA directives) na Taratibu sahihi za usimamizi wa fedha za Serikali kwa watumishi wa Halmashauri kama zilivyoainishwa kwenye Miongozo ya Fedha za Serikali (LAAM na LAFM).
Kuwezesha zoezi la kubuni vyanzo vipya vya makusanyo ya mapato ya ndani ya Halmashauri pamoja na kuboresha vyanzo vilivyopo.
N.B: LAAM – Local Authority Accounting Manual
LAFM – Local Authority Accounting Manual
NBAA – National Board of Accountancy and Auditor’s
IPSAS- International Public Sector Accounting Standards
CHF – Community Health Funds
NHIF – National Health Insurance Funds
SEDP – Secondary Education Development Funds
LAAC – Local Authority Accounting Committee
RAS – Regional Administrative Secretary
CAG – Controller and Auditor General
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved