Posted on: June 8th, 2022
K|iongozi wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa Ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma ametembelea Shamba Darasa la Ndugu Baltazar Kisela katika kijiji cha Shimbi Kati kilichopo katika Kata ya Shimbi Kwandele,...
Posted on: June 8th, 2022
Mwenge wa Uhuru leo tarehe 8 Juni 2022 umewasili katika Wilaya ya Rombo na kupokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mheshimiwa Kanali Hamis Maiga...