Posted on: November 18th, 2019
Jani la sale ni maarufu miongoni mwa kabila la wachaga, ni jani linaloheshimika sana katika kutatua migogoro na kuombea msamaha . Kwa imani za kichaga mtu yeyote aliyekosea akienda kuomba ...
Posted on: November 8th, 2019
Nia ya serikali ya kufikisha umeme katika kila kijiji imeshatimia katika wilaya ya Rombo ambapo mpaka sasa asilimia mia moja (100%) ya kata zote na vijiji vyake vimeshaguswa na umeme.
H...
Posted on: October 16th, 2019
Hofu iliyokuwa miongoni mwa waheshimiwa madiwani juu ya nyama zisizokaguliwa na wataalamu wa mifugo kuuzwa na kuliwa na wananchi imeondolewa baada ya Daktari wa Mifugo Dr Emil Mkemwa kuwahakikishia ku...