• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

Huduma za Elimu


Wilaya kupitia Idara ya Elimu ina jukumu la kusimamia ubora wa utoaji wa Elimu kuanzia elimu ya Awali mpaka Sekondari  yakiwemo mafunzo ya ufundi pamoja na yafuatayo:-

- Upanuzi wa   elimu ya awali, msingi, sekondari, watu wazima na ufundi.

- Kuinua kiwango cha uandikishaji wanafunzi na kusimamia mahudhurio.

- Kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia.

- Kuratibu ujenzi wa miundombinu ya shule pamoja na upatikanaji wa samani.

- Kuratibu ununuzi wa vifaa vya kufundishia na kujifunzia.

- Kuinua ubora na kiwango cha taaluma.

 Elimu ya Awali

Halmashauri ya wilaya ya Rombo ina madarasa ya awali 159 kati ya hayo 151 yapo katika shule za serikali na 8 yapo katika shule za mashirika ya dini na watu binafsi. Shule moja ya walemavu haina darasa la awali.Madarasa hayo yako ndani ya shule za Msingi.

 

 Elimu ya Msingi

Wilaya ya Rombo ina jumla ya shule 160 za msingi 152 za serikali na 8 za binafsi (kati ya shule za serikali moja ni ya walemavu.

Huduma zinazotolewa na Idara ya elimu msingi

  • Kusimamia taaluma shuleni (ufundishaji na ujifunzaji)
  • Kuandaa taarifa za awali za watahiniwa wa mitihani ya Darasa la VII na upimaji darasa la IV kwa kutumia fomu za Baraza (NECTA) M1 na N1.
  • Kufanya sense za takwimu za elimu kwa kutumia madodoso ya TSA,TSM na  TWM(BEMIS)
  • Kusajili wanafunzi wote katika mfumo maalumwa Baraza la mitihani kwa kuwapa namba za Kudumu (PReM)
  • Kusimamia na kufuatilia ujenzi wa miundombinu shuleni
  • Kuandaa wasimamizi,walinzi na magari kwa ajili ya mitihani darasa la VII na upimaji darasa la        IV
  • Kufuatilia na kusimamia utekelezwaji wa programe ya  LANESlenye lengo la kuimarisha stadi za kusoma,kuandika na kuhesabu(KKK) kwa madarasa ya awali-darasa la II
  • Kutoa huduma kwa wateja wakiwemo wazazi,wadau wa Elimu na jamii kwa ujumla

Elimu Sekondari

Idara ya Elimu Sekondari inasimamia jumla ya shule za Sekondari 51. Kati ya hizo shule 41 ni za Serikali na 10 ni za Binafsi (Private Schools).

Shule za Serikali zina jumla ya wanafunzi 16,434 (ME= 6,800 na KE 9,634) na shule za Binafsi zina jumla ya wanafunzi 2,797 (ME= 1,216 na KE= 1,581). Hivyo jumla ya wanafunzi wote wa shule za Serikali na za Binafsi ni 19,231 (ME=8,016 na KE= 11,215).

Katika shule hizo 51 shule tano (5) zina wanafunzi wa Kidato cha Tano na Sita.zikiwemo 2 za Serikali na 3 za Binafsi.

Kuna jumla ya walimu 1,036 (ME= 584 na KE= 452). Data zote hizi ni kwa mujibu wa takwimu za tarehe 31 Machi,,29017.

Huduma zinazotolewa na Idara

  • Kuhudumia walimu, wazazi, wanafunzi na wageni wengine kwa kuwaelekeza, kuwashauri na kuwaelimisha taratibu kwa mujibu wa sheria ya Elimu namba 25 ya mwaka 1978 na marekebisho yake katika sheria namba 10 ya mwaka 1995.
  • Kuboresha Elimu shuleni kwa kuwajengea uwezo walimu.Katika kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka 2017/2018 ie kuanzia 24 -27 Julai,2017,jumla ya walimu 204 walipewa mafunzo ya ufundishaji.
  • Kuratibu, kukusanya, kuchambua takwimu za Elimu ya Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya, kutuma na kutoa takwimu sahihi.
  • Kuratibu na kufuatilia ufundishaji shuleni.
  • Kuratibu uendeshaji wa Mitihani ya Taifa ya Kidato cha Nne na Kidato cha Sita pamoja Mitihani ya utamirifu (Mock). Pia kuratibu mitihani ya upimaji ya kidato cha Pili.
  • Kutekeleza miradi ya Serikali inayoletwa na Serikali katika Shule za Serikali. Kwa mfano Miradi ya MMES.
  • Kushiriki uhamasishaji katika kuboresha miundombinu ya shule.
  • Kubuni mipango ya kuendeleza elimu.
  • Kuratibu utoaji huduma mbalimbali kwa wanafunzi wa shule za Sekondari.
  • Kushauri kuhusu maendeleo ya Elimu Wilayani.
  • Kuratibu michezo ya UMISSETA na kuibua vipaji mbalimbali walivyonavyo wanafunzi.
  • Kutoa ushauri kwa walimu na wanafunzi kukuza taaluma
  • Kuratibu matumizi ya fedha za Elimu Msingi zinazotolewa na Serikali amabazo ni ruzuku, fidia ya ada na chakula.
  •  Kuratibu ujazaji wa OPRAS kwa walimu na watumishi wasio walimu walioko kwenye Idara ya Elimu Sekondari

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved