Posted on: November 23rd, 2020
Kikao cha bajeti ya lishe kimesisitiza kuweka shughuli za lishe kwenye idara mtambuka ambazo ni Mipango,Afya, Kilimo,Mifugo,Maendeleo ya jamiii na Elimu....
Posted on: January 29th, 2020
DC Hokororo akizungumza na wadau wa Elimu
Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Rombo Agness Hokororo amesema kuwa wilaya ya Rombo imependelewa na Wizara kwa kuletewa fedha za kutekeleza miradi miwili...
Posted on: January 24th, 2020
Watu wawili,Godson Josea -Msimamizi wa mradi wa maji wa Shimbi Mashariki na Mhandisi Amos Thomas walio chini ya Mkandarasi HECO SANMARK (T) LTD wanashikiliwa na jeshi la polisi mpaka...