• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

Sintofahamu uchaguzi wa makamu mwenyekiti

Posted on: August 6th, 2019

Katika kila kikao cha robo ya nne cha baraza la madiwani, ambacho ndicho kikao cha mwisho kwa mwaka wa fedha kuna utaratibu wa kuchagua upya wenyeviti  na wajumbe wa kamati za kudumu za halmashauri pamoja na uchaguzi wa makamu mwenyekiti.

Aidha uchaguzi wa nafasi ya makamu mwenyekiti umeahirishwa kufanyika baada ya sintofahamu kuibuka katika kikao hicho  ambapo wagombea wawili , mmoja kutoka chama cha CHADEMA Mhe. Nicholaus Kimario  ambaye ameshikilia nafasi hiyo kwa vipindi vinne mfululizo na mgombea mwenza  kutoka CCM Abdallah Mbago  kwa kila mgombea kushindwa kufikisha asilimia hamsini ya kura zote.

Idadi ya wapiga kura walikuwa ni 36, ambapo uchaguzi ulipofanyika mhe. Kimario alipata kura 14, mhe. Mbago  kura  4, kura 16 ziliharibika na kura 2 zilikosewa majina. Baada ya majadiliano muafaka ulifikiwa wa  uchaguzi  kurudiwa ambapo Mhe. Kimario alipata kura 17,Mhe. Mbago  kura 2, kura 17 ziliharibika.

Katika uchaguzi huo ambao mshindi hakupatikana kutokana na sheria  ndogo za halmashauri zinazosema mshindi anatakiwa awe amepata kura zaidi ya asilimia hamsini ,jambo lililosababisha  kila chama kurudi kukaa upya kuchagua mgombea mwingine katika nafasi hiyo baada ya kuonekana kuwa  wagombea walioletwa mbele ya baraza hawakupitishwa.

Sambamba na hilo baraza liliamua kuwa mara baada ya vyama kuteua upya wagombea   wa nafasi hiyo, litaitishwa baraza maalumu kwa ajili ya kurudia uchaguzi huo.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved