TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo imepokea kibali cha ajira mpya kwa kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kutoka kwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Menejiment ya Utumishi na Utawala Bora.
Hivyo Mkurugenzi wa Halamashauri ya Wilaya ya Rombo anapenda kuwatangazia wananchi wote kuomba nafasi hizo kama zilivyoorodheshwa:-
1. Dereva daraja la II (DRIVER II) (NAFASI 03)
2. Msaidizi wa kumbukumbu daraja la II (NAFASI 02)
3. Mtendaji wa kijiji daraja III (NAFASI 10)
Kwa maelezo zaidi kuhusu sifa na vigezo vya waombaji pitia dokumenti iliyoambatishwa hapa.tangazo kazi.pdf
Cc. Imetolewa na Afisa mawasiliano na uhusiano serikalini Wilaya ya Rombo.
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved