• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Vyeti vya FDC kupewa Tuzo inayotambulika na NACTE

Posted on: October 13th, 2018

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt AveMaria Semakafu (waliokaa katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu wa chuo cha FDC Mamtukuna kushoto kwake ni Rigamba Mwita kaimu mkuu wa Chuo na Kulia ni Magreth John Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Rombo

Dkt AveMaria Semakafu Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia amesema vyuo vyote vya maendeleo ya wananchi  (VMW) maarufu kama FDC(Folk Development College) ambavyo vyeti vyake vilikuwa havitambuliki na NACTE mchakato unaendelea na hivi karibuni vyuo hivyo vitaanza kutoa Tuzo zinazotambuliwa na NACTE.

Akizungumza katika mahafali ya 30 ya Chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mamtukuna Dkt Semakafu amesema kuwa vyuo vya FDC vimerithiwa na kuwa chini ya wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia toka mwezi wa pili mwaka jana na ahadi ni kuwa kabla ya mwaka mpya wa masomo kuanza, Tuzo halali zitakuwa zimepatikana na hata kwa wale waliokwishahitimu zitafanyiwa ulinganifu ili  vyeti vyao viweze kupatiwa tuzo zinazotambulika.

“Ukishoka ndani ya Wizara haukubaliki  na maelekezo yamekwishatolewa kwa NACTE na wameshawasilisha andiko la kwanza na muda si mrefu Wizara itakutana nao kupokea wasilisho , ili vyeti vinavyotolewa na vyuo vyote vya FDC  vipewe tuzo inayotambulika na kuwarahisishia wahitimu kujiendeleza mpaka hatua ya shahada”, alisema Semakafu

Naye kaimu mkuu wa chuo cha maendeleo ya wananchi mamtukuna ndg Rigamba Mwita aliwasilisha changamoto ya uhaba wa wakufunzi katika baadhi ya fani kama vile fani ya uchoraji hivyo kuomba wizara iwasaidie kutatua changamoto hiyo.

Akijibu hoja hiyo Dkt Semakafu amesema kuwa wizara imejizatiti chini ya kurugenzi ya ufundi yenye kurugenzi saidizi inayoshughulika na FDC pekee, tayari wameshaona upungufu uliopo wa wakufunzi kulingana na fani zilizopo na linafanyiwa kazi na kushughulikiwa hatua kwa hatua.

Mpaka sasa jumla ya vyuo 54 vya FDC vipo chini ya Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia , pamoja na TTC 35, wadhibiti ubora kila wilaya, wadhibiti ubora kanda na wizarani.


Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt AveMaria Semakafu akitoka eneo la mahafali huku akicheza mziki wa furaha


Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved