Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Mbunge wa Rombo na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo wamepokea kwa masikitiko makubwa miili ya watu waliofariki kwa ajali ya barabarani Korogwe Mkoani Tanga.
Wanafamilia na wananchi wa Wilaya ya Rombo wamejitokeza kwa wingi katika kuwaaga wapendwa wao waliofariki katika ajali hiyo. Mwenyezi Mungu azilaze Roho za Marehemu wetu wapendwa mahali pema peponi. AMINA.!!
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved