• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Ukitoroka umeshindwa Vita

Posted on: July 2nd, 2018

Picha kwa hisani ya Mtandao

Vita dhidi ya janga la UKIMWI inajumuisha kupima ili kujua hali ya afya yako, kujihadhari na maambukizi, pamoja na kutumia dawa za kupunguza makali ya Virusi vya UKIMWI na UKIMWI bado inaendelea huku watu wengi hawataki kupima afya zao, wanakimbia majibu na wengine wanatoroka huduma za dawa.

Harakati za kupambana na gonjwa la UKIMWI wilayani Rombo zinaendelea kupitia huduma mbalimbali zinazotolewa katika vituo 41 vinavyotoa huduma za upimaji, vikiwemo vituo 7 vinavyotoa huduma za dawa za kupunguza makali ya UKIMWI, Hospitali 2,Vituo vya Afya 4 na Zahanati 1.

Hata hivyo takwimu zinaonesha kuwa watu wenye umri kati ya miaka 25-49 ndio wanaopata zaidi maambukizi ya virusi vya UKIMWI,ambapo katika kipindi cha April-June kati ya wanaume 207 waliopima kwa hiyari wanne(4) walikutwa na maambukizi na wanawake sita(6) kati ya 254 .

Kwa upande wa waliopima kwa ushawishi wanaume 16 kati ya 442 walikutwa na maambukizi na wanawake 32 kati ya 796,  wanawake wajawazito waliopimwa ni 1583 na 13 walikutwa na maambukizi sawa na asilimia 0.8

Hali halisi ya wateja walioorodheshwa toka huduma ilipoanza mwaka 2005 mpaka june 2018 ni 6104, Katika kipindi cha April-June 2018 waliopata huduma ni 2844,walioko kwenye dawa ni 2833,wateja wapya walioandikishwa ni 107, walionzishiwa dawa ni 108, waliotoroka huduma ni 77 na waliofariki ni 28.

Kamati ya ya kudhibiti UKIMWI wilaya ya Rombo imeagiza taasisi na Asasi zote zinazojishughulisha na shughuli za kupambana na UKIMWI  kuhakikisha zinaandaa taarifa zao za utekelezaji wa shughuli wanazozifanya na kuziwasilisha kwenye kikao.



Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved