Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Ndg.Godwin Chacha anawatagazia wananchi wote kuwa, Jengo la zamani la benki ya CRDB linakodishwa kwa gharama nafuu.
Jengo lipo Wilaya ya Rombo, Tarafa ya Mkuu, karibu na Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Rombo na Kituo cha Afya Mkuu
KWA MAWASILIANO PIGA SIMU NO:0713723996
NYOTE MNAKARIBISHWA
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved