Waziri wa Elimu,Sayansi na teknolojia {MB} Rombo Prof :Adolf Mkenda ameahidi kushirikiana na shirika la viwango Tanzania TBS ili kuwawezesha wanawake wajasiriamali kupata kibali katika bidhaa wanazozizalisha.
Prof:Mkenda amesema hayo mara baada ya kutembelea mabanda ya maonyesho yaliyo andaliwa katika maadhimisho ya wanawake Wilaya ya Rombo.
Pia amesema utabulika bidhaa kwa TBS itawasaidia wanawake hao kuwa na uwanda mpana wa kibiashara ndani ya Tanzania na nje ya nchi.
@samia_suluhu_hassan @kassim_m_majaliwa @rs_kilimanjaro @maendeleoyajamii @mwl_mwangwala @maelezonews @gersonmsigwa
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved