Kikao kilifunguliwa na mkuu wa Wilaya ya Rombo ndugu Athuman Kihamia. Aidha kikao hicho kilifanya uchaguzi wa mwenyekiti wa Halmashauri na makamu mwenyekiti wa halmashauri, pamoja na kuunda kamati mbalimbali.
Katika kikao hicho Mheshimiwa diwan Gilbert Tarimo alichaguliwa kuwa mwenyekiti wa Halmashauri na Athuman Mbago kuwa makamu mwenyekiti wa Halmashauri.
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved