• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Uongozi ni ubunifu anena Semakafu

Posted on: October 12th, 2018

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt AveMaria Semakafu akizungumza katika mahafali ya chuo cha Maendeleo ya Wananchi Mamtukuna

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt AveMaria Semakafu amesema sifa kuu ya kiongozi ni kuwa mbunifu, alipokuwa mgeni rasmi katika mahafali ya 30 chuo cha maendeleo ya wananchi Mamtukuna  leo tarehe 12.10.2018.

Akizungumza katika hafla hiyo ameupongeza uongozi wa chuo pamoja na mwenyekiti wa bodi ya chuo ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji kwa  kuwa wabunifu na kutumia wanafunzi wa chuo hicho kufanya kazi zinazoendelea katika wilaya kama vile ujenzi  na ukarabati wa baadhi ya shule na zahanati, ikiwa kama sehemu ya mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi hao.

“Uongozi ni ubunifu sio umekuta kitu kinafanyika Januari hadi Januari ukasema hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa , hapana, ukiwa kiongozi lazima uwe mbunifu”, amesema Semakafu

Semakafu amepongeza jitihada zilizofanyika za  kuongeza  fani zinazofundishwa katika chuo hicho kutoka fani mbili mpaka kufikia fani nane na mchakato wa chuo wa kuongeza  fani nyingine mbili za uchomeleaji vyuma na fani ya kuongoza watalii (Tour Guide).

Wilaya ya Rombo ina njia ya Rongai kwenda Mlima Kilimanjaro hivyo uanzishwaji wa fani ya kuongoza watalii ipewe kipaumbele kwani inaweza kukipa chuo wateja wengi  na kwa haraka, aliongeza Semakafu

Awali  Kaimu Mkuu wa chuo hicho Ndg Rigamba Mwita akisoma taarifa ya chuo , ametaja mipango ya chuo hicho ni kuongeza fani ya uchomeleaji vyuma pamoja na fani ya kuongoza watalii kama watapata usaidizi pamoja na kuandaa mafunzo ya muda mfupi  ya matumizi ya biogas kwa wananchi wa Rombo na viunga vyake ili kusambaza teknolojia rahisi inayoweza kuokoa misitu.

Aliongeza kuwa ,tayari chuo  kinatumia nishati ya Biogas baada ya kufanikiwa katika zoezi la majaribio yaliyofanyika kwa ushirikiano wa Halmashauri ya Rombo na Manispaa ya Alyvnsbyn.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia Dkt AveMaria Semakafu(wa pili kushoto wakifurahi kwa pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo Magreth John( kulia) na Kaimu Mkuu wa chuo Rigamba Mwita (kushoto)





Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved