• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Fedha &Biashara

PROFAILI YA IDARA YA FEDHA NA BIASHARA

UTANGULIZI.

Idara ya Fedha na Biashara ni mojawapo ya idara katika Halmashauri ya Wilaya ya Rombo kwa Sheria ya Serikali ya Mamlaka ya Serikali za Mitaa tendo la 8 la 1982 ambalo lilikuwa mwanzilishi wa serikali za mitaa ambayo inabadilisha serikali ya mitaa ya ugatuzi madaraka mikoani ya toleo namba 8 ya mwaka 2002 chini ya ugawaji wa sheria ya mitaa  kwa uamuzi idara inajumla ya watumishi 127 kata 28 na vijiji 68 Pamoja na fursa zilichukuliwa ili kuzingatia ufanisi na ufanisi kuzingatia usimamizi wa huduma za umma hasa utekelezaji wa mageuzi ya huduma ya umma inayoendelea na masharti ya huduma yake.

MAJUKUMU YANAYOTEKELEZWA NA IDARA HII NI; 

 

Kusimamia zoezi la ukusanyaji wa mapato kwa vyanzo vya ndani vya Halmashauri (Collection of Funds from Council own Source such as Local Taxes, Levies, fines and Penalties)

Kusimamia na kuandaa malipo mbalimbali kwa mujibu wa Sheria, Taratibu na kanuni za Serikali na Miongozo ya usimamizi wa fedha za Serikali (LAAM na LAFM).

Kusimamia na kuwezesha utekelezaji wa Maagizo yote yanayotolewa na wakaguzi wa Ndani na kutoka nje (Response of Auditors Observations and recommendation issued from Internal Auditor’s and External Auditor’s such as NAOT, and Others).

Kuandaa taarifa Mbalimbali za Fedha kama:

Mapato na Matumizi ya Kila siku, Mwezi, Robo, Nusu Mwaka na Mwaka mzima

Taarifa elekezi za utekelezaji (CFR, Basket Funds, MMES na MMEM, Taarifa ya Maji, Barabara na N.K)

Taarifa ya Hesabu za Mwisho za Halmashauri kwa kuzingatia mfumo wa uwasilishaji wa Kimataifa (IPSAS) kama ilivyooelekezwa na Serikali

Kusimamia uaandaaji wa taarifa ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyopo Halmashauri (LAAC) kwa ajili ya kuiwasilisha

Ofisi ya Mkaguzi na mdhibiti wa hesabu za Serikali (CAG) ngazi ya mkoa,

Ofisi ya Mkuu wa mkoa – Katibu Tawala (RAS) na baadae kwenye

Kamati ya Bunge inayosimamia shughuli za LAAC.

Kutoa maelekezo juu ya kanuni za Ki-Uhasibu (As per NBAA directives) na Taratibu sahihi za usimamizi wa fedha za Serikali kwa watumishi wa Halmashauri kama zilivyoainishwa kwenye Miongozo ya Fedha za Serikali (LAAM na LAFM).

Kuwezesha zoezi la kubuni vyanzo vipya vya makusanyo ya mapato  ya ndani ya Halmashauri pamoja na kuboresha vyanzo vilivyopo.

  • Kuwezesha na kushiriki katika zoezi la uandaaji wa Bajeti ya makisio ya Halmashauri mapato na matumizi sawa na miongozo inayotolewa na Serikali kupitia Wizara husika (Wizara ya Fedha) na kuidhinishwa na Bunge la Tanzania
  • Kutoa ufafanuzi wa masuala ya fedha maalum zinazopokelewa na Halmashauri kama vile
  • Fedha za Ruzuku
  • Fedha za utekelezaji wa Miradi kama (TASAF, Fedha za mfuko wa pamoja wa Afya (Basket Fund,School Wash, Mradi wa Maji Vijijini, GLOBAL FUNDS, MMES,SEDP,NTD,CHF,NHIF na n.k)
  • Kutunza na kusimamia fedha zinazopokelewa kwenye akaunti ya Amana

N.B:          LAAM – Local Authority Accounting Manual

                  LAFM – Local Authority Accounting Manual

                  NBAA – National Board of Accountancy and Auditor’s

                  IPSAS- International Public Sector Accounting Standards

                  CHF – Community Health Funds

                  NHIF – National Health Insurance Funds

                  SEDP – Secondary Education Development Funds

                  LAAC – Local Authority Accounting Committee

                  RAS – Regional Administrative Secretary

                  CAG – Controller and Auditor General

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved