• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Mkaguzi wa Ndani

WASIFU WA UKAGUZI WA NDANI

Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani

Ndugu Ernest Kileo

1.0 Utangulizi

Kitengo Cha Ukaguzi ni kitengo huru ndani ya taasisi kinachoangalia mifumo ya udhibiti katika masuala ya kihasibu, fedha na kiuendeshaji  ndani ya taasisi kwa ajili ya kuimarisha mifumo ya kiutendaji katika kuleta ufanisi. Pia Kitengo kinafanya kazi ya kuangalia maeneo yenye viatarishi ndani ya taasisi, ili kuweza kusimamia na kuzuia athari hizo kujitokeza.

Utendaji wa kazi wa kitengo unazingatia mahitaji ya sheria za ndani, miongozo na taratibu zake na sheria za kimataifa pamoja na taratibu zake. Sheria zinazotumika katika utekelezaji wa majukumu ni ” Local Government Finance Act. No. 9 of 1982 Section 45 (1) and 48, Public Finance Act (2001) as revised 2004 and amended 2010, Public Finance Regulations (2001), Local Authority Financial Memorandum, 2009 which replaced LAFM (1997), Public Procurement Act (20110, Public Service Act (2002), Standing Orders (2009), The International Professional Practice Framework (IPPFs) issued by the IIA, Code of Ethics for Internal Auditors issued by the Internal Auditor General, Circulars issued, from time to time, by the Permanent Secretary, President’s Office- Public Management Service Management (PO-PSM

2.0 Malengo

Malengo ya kitengo Cha Ukaguzi katika kufanya na  kukamilisha shughuli zake ni pamoja na

  • Kuangalia uhalisia wa miamala ya kifedha
  • Kuangalia taratibu za kifedha na kioperesheni kama zinafuatwa ili kuongeza udhibiti kwa kuangalia sera na miongozo mbalimbali.
  • Kuangalia uwepo wa mali za taasisi na kushauri katika utunzaji ili kuepusha athari zinazoweza kujitokeza
  • Kuangalia kiwango cha utekelezaji wa taratibu na sera mbalimbali, sheria za serikali pamoja na miongozo yake
  • Kuangalia ufanishi katika mfumo mzima wa utendaji ndani ya taasisi
  • Kuangalia ufanisi wa taasisi katika suala zima la utekelezaji wa dira ya taasisi
  • Kuweka ushirikiano katika kuishauri kamati ya ukaguzi pamoja kutoa ushirikiano kwa wakaguzi wa nje katika kujadili mbambo mbali mbali ya taasisi

3.0 Muundo

Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani kina jumla ya watumishi watatu ikiwa ni Mkuu Wa Kitengo, na wakaguzi wa ndani wawili.

4.0 Kanuni na maadili ya utawala wa Sheria 

Mkaguzi wa ndani anaongozwa kufanya kazi kwa   taratibu na misingi  ifuatayo  katika kutekeleza  majukumu ya kazi zake za kila siku.-

  • Uweledi- Mkaguzi lazma afanye kazi zake kwa uaminifu mkubwa na kuwa mwajibikaji.
  • Uwazi-Mkaguzi hautahusika kufanya kazi ambazo zitamfanya apoteze uaminifu au kumfanya aonekane si mwaminifu.
  • Isiri-Mkaguzi wa ndani anatakiwa kutunza taarifa za taasisi kwa usiri mkubwa na kutotumia taarifa kujinufaisha mwenyewe kwa niaba ya taasisi husika.
  • Uwezo na  ufanisi- Mkaguzi lazima afanye kazi kwa zile shughuli alizo na uwezo ,maarifa ,akili na uzoefu.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved