• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

mipaka ya kimataifa ya mkoloni kuangaliwa upya

Posted on: June 7th, 2018

“Serikali inaweka alama katika mpaka wa kimataifa kati ya Kenya naTanzania na kujenga barabara zitakazosaidia kufanya patrol, kudhibiti magonjwa ya kuambukiza ya wanadamu na mifugo, utoroshaji wa mifugo pamoja na  wahamiaji haramu”.

Hayo aliyasema  Waziri wa Ardhi  Nyumba na Maendeleo Ya Makazi Mh, William Lukuvi akiwa katika ziara ya siku moja wilayani Rombo.

Aliongeza kuwa kwa kufanya hivyo serikali itakuwa inakamilisha agizo la umoja wa nchi za Africa ambalo limeagiza mipaka yote ya kimataifa iliyowekwa na wakoloni kuimarishwa pamoja na andiko kusainiwa na Maraisi wa pande zote mbili za mipaka hiyo.

Aidha Waziri Lukuvi ameagiza watanzania wote waliojenga ndani ya eneo huru la mpaka wa kimataifa waondolewe sambamba na wakenya waliojenga katika eneo hilo kwa upande wa Tanzania bila kusubiri tamko la Maraisi.

Naye Mkuu Wa Wilaya Ya Rombo Bi Agness Hokororo akitoa taarifa ya wilaya kwa upande wa Ardhi alisema changamoto kubwa ni kutokuwepo kwa Baraza la Ardhi la wilaya na umuhimu wake kutokana na asilimia sitini(60) ya malalamiko ni migogoro ya Ardhi.

Wilaya ya Rombo ina mpaka wa kimataifa na Kenya  wenye umbali kwa kilometa zipatazo 100, alama za mpaka zipo katika hali nzuri kwa upande wa mfungamano wake( alama moja hadi nyingine) huku 8 zikihitaji  kujengwa upya,6 hazifikiki kwa uraisi,alama 21 zimemomonyoka na kukatika na zinahitaji marekebisho.



Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved