• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

ZIARA YA NAIBU WAZIRI UMMY ROMBO

Posted on: July 19th, 2023

Naibu Waziri wa nchi ofisi ya Waziri mkuu sera bunge na uratibu Mhe. Ummy Nderiananga amefanya ziara wilayani Rombo leo tarehe 19 julai na kupokelewa na Mkuu wa wilaya Mhe. Kanal Hamis Maiga Pamoja na viongozi na watumishi mbalimbali kutoka halmashauri.

Naibu Waziri Ummy katika ziara hiyo aliongozana na katibu wa (UWT) Mkoa wa Kilimanjaro na kufanikiwa kutana na wanachama wa (UWT) wa wilaya ya Rombo. Mhe. Ummy alisomewa taarifa ya mwenendo wa chama cha UWT wilaya ya Rombo ikiwemo malengo, mafanikiao  pamoja na changamoto zinazowakunba  wanachama hao.

Baada ya kusikiliza na kupokea taarifa hiyo Mhe.Ummy aliweza kutoa hamasa kwa wanchama hao kwa kuwachangia nondo pamoja na mifuko saruji kwaajili ya ujenzi wa nyumba za makatibu wa (UWT) wilaya Rombo. Pia mhe.Ummy aliweza kutoa majiko ya gesi 75 kwa wanachama hao ikiwa ni juhudi za kuwatuwa wakina mama kuni kichwani.

Vilevile  viongozi wa UWT wakishirikiania na mhe. Ummy walimkabidhi mkuu wa wilaya ya Rombo Mhe. Maiga cheti cha heshima kwa kazi kubwa na  mchango wake katika kuhakikisha wanachama hao wanapata ushirikiano wakutosha katika kutimiza malengo yao.

Mheshimiwa Naibu Waziri pia alifanikiwa kutembelea shule ya msingi Mreai  iliyopo katika kata Ubetu kahe yenye kufundisha Watoto wenye uhitaji maalumu. Mkuu wa shule alisoma taaarifa fupi kushusu Shule, mafanikio changamoto Pamoja na malengo.

Katika taarifa hiyo, kulionekana kuwepo kwa changamoto ya vifaa vya kufundishia, uhaba wa waalimu pamoja na Watoto hao kukosa mwendelezo baada ya kuhitimu darasa la saba. Hivyo wakaomba serikali iweze kuwatatulia changamoto hizo ili kuboresha utoaji huduma shulen hapo.

Mhe. Ummy  alipokea taarifa hoyo na kusema atafikisha sehemu husika ili kuweza kuchukuliwa hatua zaidi hivyo akawasihi waalimu wa shule hiyo kuwa na Subira huku serikali ikayatafutia mwarobaini changamoto zao. Mhe ummy pia alitoa agizo kwa  kutoa  kwa wananchi wenye Watoto wenye ulemavu kuwapeleka Watoto shule kikatiba ni haki ya kila mtu kupata elimu. Katika kusisitiza hilo Mhe. Ummy aliweza kujitolea mfano kuwa endepo wazazi wake wasingempeleka shule kisa ulemavu wake basi leo hii asingeweza kuwa naibu Waziri.

 Mwisho kabisa Naibu waziri aliweza kukabidhi baskeli mbili maalum kwa watu wenye walemavu katika kituo cha watu wenye mashima iliyopo kata ya ubetu kahe baada ya kutembelea kituo hicho kilichopo katika kata hiyo ya Ubetu Kahe.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved