• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

Serikali Yawakumbuka Maafisa Elimu Kata

Posted on: October 15th, 2018

Baadhi ya Maafisa Elimu kata wakizifanyia Majaribio pikipiki walizogaiwa kwa dhumuni la kuwarahisishia kuzunguka katika kata zao ili kutimiza majukumu yao kwa urahisi

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo Bi. Magreth John leo tarehe 13.10.2018 Amewakabidhi Maafisa Elimu kata pikipiki ishirini na saba (27) zilizotolewa na serikali kwa kushirikiana na wadau wa Elimu kupitia Mpango wa kukuza stadi za KKK yaani kusoma,kuandika na kuhesabu ili kuinua kiwango cha Elimu nchini.

Aidha  amewaagiza maafisa Elimu kata kuhakikisha wanatimiza majukumu yao ipasavyo kwasababu changamoto ya usafiri imeshatatuliwa na serikali, ikiwa ni pamoja na kuelimisha wananchi kuwaandikisha watoto wao shule pamoja na kuondoa au kupunguza utoro mashuleni.

Aliongeza kuwa ni muhimu wahakikishe wanasimamia vyema rasilimali za shule bila kusahau kuwasimamia wakuu wa shule kuhakikisha wanafanya matumizi sahihi ya Fedha za serikali kwa kufuata miongozo.

Naye Kaimu Afisa  Elimu Sekondari(W) Ndg Vianne Mgoma ametoa rai kwa Maafisa Elimu Kata kuwasimamia walimu vizuri hasa wale ambao wamekuwa hawafiki kazini au wanafika lakini hawafundishi ipasavyo hii inatokana na urahisi watakaokuwa nao sasa wa kufika katika maeneo wanayoyasimamia kwa wakati.

Naye Katibu wa TSC(W) Emmanuel Mwaimu amewatahadharisha Maafisa Elimu Kata akitumia kanuni na. 8 ya 2003 na kanuni na 42 ya utumishi wa umma kuwa moja ya makosa ya kinidhamu ni kutumia mali ya umma kwa matumizi binafsi,  na uzembe unaosababisha hasara kwa muajiri adhabu zake ni fidia au kulipa gharama lakini pia unaweza kushtakiwa au kufukuzwa . Hivyo ni vema wakizijua kanuni hizo ili wajue mali za umma zinavyotakiwa kutumika.

Mwakilishi wa Maafisa Elimu kata(jina lake limehifadhiwa) alishukuru kwa niaba ya wenzake na kumuahidi Mkurugenzi Mtendaji kuwa watatizimiza maelekezo yote waliyopewa ikiwa ni pamoja na kufuata sheria za usalama barabarani.

Pia alichukua fursa hiyo kumshukuru kwa kuwapatia mafunzo ya udereva wa pikipiki kabla ya kuwagawia pikipiki hizo kwani ameonesha anawajali wao na usalama wao.



Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved