• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

Serikali kutatua tatizo la mwingiliano wa mawasiliano mipakani

Posted on: March 30th, 2019

Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Dr.Jim Yonazi pamoja na timu yake imefanya ziara wilayani Rombo ili kukagua tatizo la mwingiliano wa mawasiliano ya simu na redio yaliyopo katika wilaya na kuangalia maeneo yanayohitaji huduma ya mawasiliano na maeneo yanayohitaji maboresho.

Akizungumza katika ziara hiyo iliyofanyika tarehe 30 Machi mwaka huu Dr Yonazi amesema kuwa serikali inafanyia kazi tatizo la mwingiliano wa mawasiliano na muda si mrefu maeneo yote yatakuwa na usikivu mzuri wa mawasiliano ya simu, redio na Televisheni.

Mawasiliano ni uchumi,na  yanapokuwa mazuri wananchi watashiriki vema katika shughuli za kiuchumi na kuleta maendeleo, hivyo serikali kwa kushirikiana na makampuni ya simu inaendelea kujenga minara na kuboresha mawasiliano hasa katika maeneo ya mipakani ambapo ndio kuna mwingiliano mkubwa wa mawasiliano, alisema Dr. Yonazi.

Naye Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote Peter Ulanga  alieandamana na Dr. yonazi katika ziara hiyo amesema kuwa, wao kama mfuko wana jukumu la kupeleka mawasiliano katika maeneo ambayo hayana mvuto kibiashara.

Ameongeza kuwa ,  kazi kubwa  iliyopo ni kuyatambua maeneo hayo na kutenga ruzuku kwa kushirikiana na makampuni ya simu ili kuongeza usikivu wa mawasiliano,kuongeza shughuli za kibiashara maeneo ya mpakani  na kuimarisha ulinzi ambapo katika wilaya ya Rombo tayari mradi umefanyika na katika miezi michache ijayo miradi mingine ya kuongeza usikivu katika wilaya itafanyika.

Hata hivyo amesema kuwa eneo kubwa la Rombo lina mlima Kilimanjaro ambao umekuwa kama ukuta na kuzuia mawasiliano kutoka sehemu nyingine, lakini tayari kwa upande wa redio kuna ushirikiano na TBC  kuhakikisha redio za Tanzania zinasikika katika maeneo mbalimbali hivyo wataangalia jinsi ya kuongeza vituo zaidi vya mawasiliano katika wilaya ya Rombo.

Nao viongozi mbalimbali katika wilaya ya Rombo akiwemo katibu tawala wilaya ndugu Abubakar Assenga pamoja na Diwani wa kata ya Motamburu Kitendeni  Mhe. Abdallah Mbago walikiri kuwa mwingiliano wa mawasiliano katika wilaya ya Rombo upo kwa kiwango kikubwa na  baadhi ya maeneo inasoma mitandao ya Kenya na hata redio wanasikiliza za Kenya.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved