• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

Rombo tumependelewa-Hokororo

Posted on: January 29th, 2020

DC Hokororo akizungumza na wadau wa Elimu

Mhe. Mkuu wa Wilaya ya Rombo Agness Hokororo amesema kuwa  wilaya ya Rombo imependelewa na Wizara kwa kuletewa fedha za kutekeleza miradi  miwili ya elimu kwa mwaka 2019, ikiwa ni milioni 152 za kujenga ofisi za udhibiti ubora wa shule  na milioni 500 za kukifanya upya chuo cha maendeleo ya wananchi Mamtukuna kilichokuwa chini ya Maendeleo ya Jamii  ambacho kwa sasa kinasimamiwa na wizara.

Hayo ameyazungumza katika halfa fupi ya ufunguzi wa Ofisi ya udhibiti ubora wa shule uliofanyika mapema leo Januari 29,2020

Ameongeza kuwa serikali  ipo mstari wa mbele kuwaletea wananchi maendeleo  kwa kuimarisha miundombinu mbalimbali katika sekta za elimu,afya ,barabara na umeme bila kujali itikadi,rangi dini wala ukabila na wananchi wa wilaya ya Rombo ni wanufaika.

Katika hatua nyingine Hokororo amewataka wadau wa elimu kutoiona ofisi ya udhibiti ubora wa shule kama washitaki ,bali wafanye kazi kwa kushirikiana kunyanyua kiwango cha elimu na ufaulu kwa wilaya  kwa kuboresha mazingira ya kufundishia na kusomea kwa walimu na wanafunzi.

Naye mdhibiti ubora kanda  amesema kuwa suala la udhibiti ubora ni mfumo unaoangalia viwango vya elimu na kazi hii inafanyika kwa ushirikiano kuanzia ngazi ya shule ambapo mdhibiti ubora ni mkuu wa shule akishirikiana na baadhi ya walimu, wadhibiti ubora wengine ni  Afisa elimu kata, Afisa Elimu(Wilaya) Afisa Elimu(Mkoa) ,wote kwa pamoja wanashirikiana kuhakikisha shule zinafanya vizuri na kuwa na ufaulu wa kutosha

Akisoma taarifa fupi ya mradi Mdhibiti ubora wa shule W amesema kuwa wilaya ya Rombo ni miongoni mwa wilaya 100 zilizopewa fedha ya kujenga ofisi za Udhibiti ubora wa shule Tanzania ambapo kwa kanda ya kaskazini yenye jumla ya halmashauri 18 Rombo ni Miongoni mwa wilaya 10 zilizofanikiwa kupata fedha za ujenzi .

 

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved