• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

ROMBO YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA ELIMU SEKONDARI (MITIHANI KIDATO CHA PILI NA CHA NNE) NA WADAU WA ELIMU

Posted on: April 23rd, 2024


ROMBO YAFANYA KIKAO CHA TATHMINI YA ELIMU SEKONDARI  (MITIHANI KIDATO CHA PILI NA CHA NNE) NA WADAU WA ELIMU.



Halmashauri ya Wilaya ya Rombo ikiongonzwa na Mhe. Raymond Steven Mwangwala Mkuu wa Wilaya ya Rombo (Mgeni rasmi)  mapema leo  imefanya kikao cha tathmini ya Elimu ya sekondari  (taaluma na michezo) na wadau mbalimbali wa Elimu katika ukumbi wa shule ya msingi St. Joseph ya Mkuu.


Akizungumza Katika kikao hicho  Mhe. Raymond Mwangwala  aliwataka wadau wote katika kikao hicho kuhalikisha wanasimamia mustakabali wa elimu kwani elimu ndio msingi katika kujenga taifa imara. 



"Tunapojadili haya tujifananishe katika ushindani wa dunia, Je elimu tunayoitoa inaendana na ushindani wa dunia?  na ili kulifahamua hilo ni wazi tunahitaji  kufanya vikao kama hivyi vya tathmini pamoja wadau wa Elimu lakini pia  kufanya tafiti za kina zaidi ili kuboresha zaidi sekta hii ya Elimu" alizungumza Mhe. Mwangwala. 


Kadhalika Mkuu wa Wilaya ameomba wadau wa elimu kona haja ya kuongeza   somo la maadili kwa wanafunzi  ili kukabiliana na changamoto kubwa  ya mmomonyoko wa maadili katika jamii hasa katika kipindi hiki Cha utandawazi.


Pia Mhe.Mwangwala  amepongeza jitihada za wadau wa elimu  katika kutambua umuhimu wa kutunza mazingira na vyanzo vya maji. 



"Licha ya kutambua jitihada  hizo bado nawaomba waalimu wakuu kuhakikisha kila mwanafunzi anapanda mti wake nyumbani na shuleni na kutunza miti hiyo na nitahakikisha nafanya ziara za kushtukiza kujionea hali inakwendaje" Mhe. Mwangwala amezungumza hayo kutokana na kuwepo kwa changamoto ya  mabadiliko makubwa ya tabia ya nchi yaliyosababishwa  na uharibifu wa mazingira


Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved