Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Rombo anawatangazia watendaji wa Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la wapiga kura kufika kwenye Mafunzo siku ya Jumapili na Jumatatu tarehe 8/12/2024 hadi tarehe 09/12/2024 katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Shauritanga( Mashati) kuanzia Saa 1:30 Asubuhi.
BONYEZA LINK KUONA MAJINA
MAJINA MAFUNZO UBORESHAJI ROMBO_11zon.pdf
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
simu: 027-2757101
Mobile: 027-2757101
staff mail: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved