• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

NJAA MASHULENI KUSHUSHA TAALUMA

Posted on: February 16th, 2018

Pichani ni Afisa Mipango(W) Bwana Chrispine Mng'anya akiwa kwenye mkutano  kata za Olele,KIngachi na Kitirima kuhamasisha wananchi kuchangia miradi ya maendeleo 

Wananchi  wilayani Rombo katika Kata za Olele, Kitirima na Kingachi wamekaa kwa pamoja na uongozi wao wa kata na kukubaliana kupiga vita njaa mashuleni kwa kuchangia chakula cha watoto wao ili wasome katika mazingira bora na hatimaye waweze kupata elimu bora.

Kukosekana kwa chakula mashuleni hasa katika shule za kata kunasababisha watoto kutokusoma vizuri,kushuka kitaaluma na wengine kuzurura mitaani kutafuta chakula kitu kinachopelekea wengine kujihusisha na vitendo vya udokozi.

“Jukumu la utoaji wa chakula mashuleni ni la wazazi,na hili limekuwa likifanyika kwa miaka mingi katika wilaya yetu, hivyo ni vema wazazi muendelee kuchangia,si busara sana watoto kuzagaa mtaani kutafuta chakula”, alitolea msisitizo Afisa Mipango(W) Bwana Chrispine Mng’anya katika mkutano wa kuwahamasisha wananchi kuchangia shughuli za maendeleo katika kata hizo.

Kumekuwa na mitazamo tofauti tofauti baada ya tamko la Raisi kufuta michango mashuleni huku baadhi ya wazazi wakihusisha michango ya watoto wao kupata chakula shuleni kufutwa kitu ambacho si sahihi, bado ni wajibu wa kila mzazi kuhakikisha mtoto wake amekula shuleni ili aweze kufanya vizuri katika masomo,mtoto kusoma huku akiwa na njaa kunamsababishia kushuka kitaaluma.


Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved