Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Rombo Ndugu Godwin Justin Chacha mapema leo tarehe 16/09/2024 ametangaza Orodha ya Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji; pamoja na Vitongoji vya Mamlaka ya mji mdogo Mkuu. Tukio hilo limehudhuriwa na wadau mbalimbali wa Uchaguzi, Watendaji wa kata na vijiji Pamoja na wakuu wa idara mbalimbali.Hayo yote ni kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambapo utafanyika tarehe 27 Novemba 2024.
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
simu: 027-2757101
Mobile: 027-2757101
staff mail: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved