• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

MKUU WA MKOA BABU AHUDHURIA KIKAO CHA BARAZA LA MADIWANI

Posted on: June 26th, 2023

Baraza la madiwani wa halmashauri ya Wilaya ya Rombo wafanya kikao cha kufunga mwaka wa fedha 2022/23, nae Mkuu wa  mkuu wa wilaya ya Rombo mhe. Kanali Hamis Maiga, mkuu Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu Pamoja na akatibu tawala mkoa wa Kilimanjaro mhe. Tixon Nzunda wahudhuria kikao hicho kilicholenga kujibu hoja za mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali (CAG).

Baraza hilo la waheshimiwa madiwani lilipitia hoja 10 silizosalia kujibiwa kati ya hoja 31 zilizohitaji majibu na baada ya majadiliano na mapitio ya hoja hizo kwa kina waliridhia mpaka ifikapo mwezi wa saba hoja hizo ziwe zimekamilishwa kujibiwa, lakini pia kuwepo na vielelezo na kufunga hoja hizo.

Hata hivyo, Kabla ya kikao hicho kuhairihswa mwenyekiti wa kikao hicho Pamoja mkurugenzi alimkaribisha kuu wa wilaya ambaye alimkaribisha katibu tawala azungumze jambo na baraza hilo la madiwani.  “Kwanza niwapongeze kwa kuwa halmashauri iliyokusanya mapato kwa Zaidi ya asilimia 100 lakini nisisitize ufungwaji wa vifaa vya kieletroniki kwenye vyanzo vyote vya mapato ambapo itasaidia kupunguza upotevu wa mapato” alishauri katibu tawala mhe. Tixon Nzunda.

Vile vile Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Babu alishauri baraza hilo la madiwani kuhakikisha wanasimamai utekelezaji wa miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika kila kata. Pia akiomba kila diwani kwa nafasi yake kuhakikisha wanapambana kutokomeza mmomonyoko wa maadili ambao kwa sasa imekuwa changamoto kubwa nchini na duniani kiujumla.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved