• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

Mkurugenzi avipiga shule vikundi vinavyopewa mkopo na Halmashauri

Posted on: January 9th, 2020

Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo  Godwin Chacha ametoa mafunzo kwa vikundi  20  vya wanawake, vijana na  wenye  ulemavu, ambayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano  wa Halmashauri  ,kuhusu matumizi sahihi ya fedha za mikopo, uaminifu katika marejesho na njia rahisi ya kutatua changamoto wanazokabiliana nazo za kitaalamu.

Akizungumza katika mafunzo hayo amewaasa wanavikundi wasichukue fedha za kikundi na kupeleka nyumbani ili kufanyia matumizi binafsi au kuwapa wenza wao ,kwani  kwa kufanya hivyo  itasababisha kikundi kizima kupoteza uaminifu na kushindwa kufanya marejesho na matokeo yake ni Halmashauri kukipeleka kikundi mahakamani.

Sambamba na hilo Chacha ameviasa vikundi ambavyo ndio mara ya kwanza kuchukua mkopo kufuata fedha benki kwa pamoja ili kuepuka  kusalitiana,  iwapo ikatokea mwanakikundi mmoja au wawili wamekimbia na fedha na kupelekea kikundi kushindwa kufanya marejesho haimaanishi watasamehewa , kikundi bado kitahitajika kufanya marejesho ya mkopo.

Ameongeza  kuwa serikali inatoa mikopo hiyo ambayo inatokana na 10% ya mapato ya ndani ya Halmashauri bila riba wala rushwa ya aina yeyote, ikiwa na lengo la kuwainua wananchi kiuchumi hivyo ni muhimu kwa vikundi kufanya marejesho kwa uaminifu ili serikali ipate nguvu ya kusaidia vikundi vingine.

Vilevile amevitaka vikundi hivyo visisite kufika ofisini na kukutana na wataalamu muda wowote wanapopata changamoto katika shughuli zao kama kikundi  kwa ajili ya ushauri wa kitaalamu na kupata maelekezo ya kinachotakiwa kufanyika ili kutatua changamoto zao.

 “Usichezee mtaji, chezea  faida huku ukikumbuka kuwa faida nayo inatakiwa kuwa sehemu ya kukuza mtaji ambao utakufanya usogee kutoka katika hatua moja kwenda nyingine”, amesema Chacha

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved