Mafunzo elekezi ya Awali kwa watumishi wa Ajira Mpya (Induction course) yametolewa leo 05/09/2024 katika ukumbi wa Halmasharauri ya Wilaya ya Rombo katika kada za Afya,Madereva na Maendeleo ya jamii. Pamoja na mada zilizotolewa kwa watumishi hao,pia waliweza kujibu Maswali na kujipatia cheti cha mafunzo kupitia Mfumo wa ujifunzaji wa Kielektroniki(MUKI) kinachotolewa na chuo cha Serikali za mitaa(HOMBOLO)
NB:Mafunzo ni endelevu kwa watumishi wapya wa umma kwa mujibu wa sheria.
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
simu: 027-2757101
Mobile: 027-2757101
staff mail: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved