• Contact us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
    • Complaint |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania President's Office Regional Administration and Local Government Rombo District Council

  • Home
  • About Us
    • History
    • Mission and Vision
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • ujenzi
      • maji
      • Planning and Statitics
      • Livestock and Fishing
      • Community DEvelopment
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Ellimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Land and natural Resources
      • Human Resource and Administration
      • Health
    • Unit
      • ICT
      • Kitengo cha Manunuzi na Ugavi
      • Law
      • Internal Audit
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Organisation Structure
  • Investiment Opportunities
    • Vivutio vya utalii
    • Industry
  • Our Services
    • Water
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Health
    • Mifugo
  • Councillors
    • List of Councillors
    • Permanent Commitees
    • Scheduals of Legal sessions
  • Projects
    • Completed projects
    • Ongoing projects
    • New Project
  • Publications
    • Forms
    • Acts
    • Report
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Guidelines
  • Media Centre
    • Videos
    • News
    • Press Releae
    • Photo Gallery
    • Speech

MAADHIMISHO YA SIKU YA AFYA NA LISHE NA UZINDUZI WA KAMPENI YA LISHE KWA VIJANA BALEHE

Posted on: October 30th, 2023

Jamii imesisitizwa kuzingatia umuhimu wa lishe bora kwa vijana wa rika balehe la miaka  10 -19 ambayo ni hatua muhimu ya ukuaji mara baada ya siku 1000 za mwanzo za maisha ya mtoto.

Rai hiyo imetolewa wakati wa maadhimisho ya Siku ya Afya ya Lishe Halamashauri ya Wilaya.ya.Rombo mwaka 2023, yaliyofanyika kwenye shule ya Sekondari Kelamfua iliyopo Mkuu.

Mganga Mkuu wa Wilaya  Dkt. Deogratius Maruba, amesema kuwa suala la Lishe ni la muhimu katika afya ya binadamu lakini umuhimu unajikita zaidi kwenye hatua za makuzi ikiwemo hatua za makuzi kwa vijana wa rika balehe.

Amesema kuwa jamii inaoaswa kuzingatia lishe bora kwa vijana , kwa kuwa hatua ya ukuaji kwa vijana wa rika balehe, ndio maandalizi ya maendeleo ya mwili katika uzazi lakini maendeleo katika maandalizi ya nguvu kazi kwa  maenedeleo ya kijamii na kiuchumi.

"Lishe bora kwa vijana balehe ni muhimu kwa kipindi cha miaka 10 -19 ndio fursa adhimu ya ukuaji na maendeleo ya binadamu baada ya siku elfu moja za mwanzo wa maisha ya mtoto, hatua ambayo inamuandaa kijana kuwa nguvu kazi ya Taifa." Alisema Dr. Maruba

Aidha, ameeleza kuwa vijana balehe wana umuhimu wa kuzingatia lishe kwani ndio msingi wa maendeleo ya binadamu na ya Nchi, hivyo jamii kwa ujumla wake wanapaswa kuzingatia na kichukua hatua stahiki kuhakikisha vinaja wanapata lishe bora kwa afya zao.



Naye Afisa Lishe Wilaya  ameeleza  dhumuni la maadhimisho hayo ni kuongeza uelewa katika jamii,  kuhusu afya yanlishe na umuhimu wa lishe bora wa vijana hususani vijana wa rika balehe ambao ndio msingi wa nguvu kazi ya jamii na Taifa.

Ameyataja makadirio ya kidunia yanaonyesha kuna vijana Milion 1.2  wenye umri wa miaka 10-19 ambayo inaongezeka kwa kasi kubwa huku Tanzania ikikadiriwa kuwa robo ya watu wote ni vijana wa rika balehe.


Amesisitiza kuwa huduma za Afya ni muhimu katika kuhakikisha wananchi wanakuwa na afya bora ili kuwawezesha kushiriki katika shughuli za maendeleo ya Nchi.

Awali maadhimisho hayo kiwilaya, yameambatana na utoaji wa huduma bure za Afya, ikiwemo upimaji wa hali ya lishe, upimaji wa Damu, ulinganisho  wa Urefu na Uzito pamoja na kutoa elimu ya vyakula ya Afya na lishe yakiwa yamebeba Kauli Mbiu ya " Lishe bora kwa Vijana balehe ni chachu ya mafanikio yao"

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • View All

Habari Mpya

  • TANGAZO LA NAFASI YA KAZI.

    May 29, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • View All

Videos

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
More Videos

Kurasa za haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Kurasa za karibu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Location Map

Contact us

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    simu: 027-2757101

    Mobile: 027-2757101

    staff mail: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano mengine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Sitemap

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved