MKURUGENZI MTENDAJI WA WILAYA YA ROMBO ANAPENDA KUWATAARIFU WAOMBAJI WA KAZI ZA UDEREVA, UTENDAJI WA KIJIJI, NA MTUNZA KUMBUKUMBU WAIOOMBA KAZI KUWA USAILI UNATARAJIWA KUENDESHWA KUANZIA TAREHE 21 HADI 24 MWEZI WA TISA 2023 KUANZIA SAA MOJA NA NUSU ASUBUHI.
bofya hapa kuona majina TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI_compressed (1).pdf
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
simu: 027-2757101
Mobile: 027-2757101
staff mail: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved