Baadhi ya Maafisa Elimu kata wilaya ya Rombo wakizifanyia majaribio pikipiki walizogaiwa na serikali ili waweze kusimamia shule hasa za msingi na kutilia mkazo elimu ya kujua Kusoma, Kuandika na Kuhesabu.
Ushauri wa Dkt. AveMaria Semakafu (Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kwa wahitibu wa kike chuo cha Maendeleo ya Jamii Mamtukuna wilayani Rombo baada ya kuwatunuku vyeti vya uhitimu wanafunzi wa chuo hicho
Mhe. Mkuu wa wilaya ya Rombo Agnes Hokororo akipokea Mwenge wa uhuru 2018kutoka kwa Mhe. Onesmo Buswelu Mkuu wa wilaya ya Siha katika viwanja vya shule ya msingi Endonet wilayani Rombo
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved