• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

ZIARA YA MKUU WA MKOA

Posted on: June 1st, 2023

Uongozi wa Mkoa wa Kilimanjaro ukiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, Katibu Tawala wa Mkoa Tixon Nzunda Pamoja  na Kamati ya Ulinzi na Usalama Juni 1 wamefanya ziara ya kukagua miradi ya maendeleo katika Halamashauri ya Wilaya ya Rombo. 

Ziara hiyo ililenga katika kuhakiki thamani ya miradi husika na kupata ripoti kamili kuhusu  miradi hiyo. Jumla ya miradi nane ya maendeleo ilitembelewa ambapo baadhi ilionekana kuwa na dosari.  

Katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Tixon Nzunda  ametoa wito kwa Mkurugenzi wa Halmashauri pamoja na Wakuu wa Idara  kuhakikisha wanazitafutia ufumbuzi changamoto hizo ndani ya siku saba. Pia amesisitiza upatikanaji wa taarifa kamili za kila mradi kuanzia  siku mradi ulipoanza hadi ulipifikia pamoja na majibu ya vipimo vya material yote yaliyotumika kuambatishwa na   kuagiza taarifa hizo  zitumwe mkoani ndani ya siku saba.

Aidha, Bw. Nzunda aliwasisitiza wajumbe juu ya uwajibikaji katika kutekeleza majukumu yao hususani yale yanayohusu miradi ya maendeleo na kuwaeleza kuwa endapo atabaini tena dosari na  uzembe wa aina yoyoye  katika miradi hiyo basi hatua kali za kisheria zitachukuliwa kwa wahusika .

Kwa  upande wake Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mhe. Kanali Hamisi Maiga  aliushukuru uongozi wa Mkoa  kwa kufika katika Wilaya yake na kuahidi kufanyiwa kazi kwa changamoto zote zilizojitokeza kwa  kushirikiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halamsashauri.

Cc. Afisa Mawasiliano na Uhusiano Serikalini


Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved