• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya kuboresha miundombinu kijiji cha Kiwanda

Posted on: November 2nd, 2018

Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Rombo katika kijiji cha Kiwanda kata ya Kirongo Samanga utasaidia kuboresha miundombinu muhimu na kwa haraka kutokana na umuhimu wake katika ujenzi wa Hospitali ikiwa ni pamoja na maji, umeme na  barabara.

 Kamati ya ulinzi na usalama wilaya ikiongozwa na Mhe Mkuu wa wilaya , Mkurugenzi Mtendaji na timu yake pamoja na Waheshimiwa Madiwani wakiongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri walifanya mkutano na wananchi wa kata hiyo katika kijiji cha kiwanda kwa lengo la kusikiliza kero zao na kuwapa taarifa rasmi ya ujenzi wa hospitali ya wilaya  katika kijiji hicho.

Katika mawasilisho ya kero na mahitaji yaliyoombwa kwa wingi na wananchi ni shida ya maji, umeme, shule ya msingi, ujenzi wa kituo cha polisi uliosimama kwa muda mrefu. Pamoja na hayo pia waliridhia na kushukuru ujenzi wa Hospitali ya wilaya katika kijiji hiko kwani walikuwa wanatembea umbali mrefu kufuata huduma za afya.

Mkuu wa wilaya ya Rombo Mhe.Agnes Hokororo akizungumza na wananchi wa kirongo samanga aliwahakikishia maji lazima yafike kirongo samanga hasa kiwanda, japo kulikuwa na mpango wa muda mrefu wa kuleta maji kutoka ziwa Chala lakini kutokana na dharura ya ujenzi wa hospitali chanzo kingine cha kinyasini kilichopo katika hifadhi ya Kinapa kitatumika na tayari vibali vimeshatolewa hivyo taratibu za kuleta maji Kiwanda zimeshaanza.

Miundombinu mingine ambayo Mhe.Hokororo aliiongelea itakayoambatana na ujenzi wa hospitali ni pamoja na barabara ambazo ni lazima ziwepo kwa ajili ya magari ya wagonjwa na wananchi kuingia na kutoka Hospitali, umeme pia ni muhimu katika hospitali lakini pia wananchi wanatakiwa kujiorodhesha katika sehemu zenye kaya zaidi ya 10 ili waweze kupata nishati hiyo muhimu.

Ombi la ujenzi wa shule ya msingi na umaliziaji wa kituo cha polisi lilichukuliwa na kuahidiwa kufanyiwa kazi na kutokana na umuhimu wa huduma hizo, zitatekelezeka.

 

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved