• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

"Tuwasikilize na kuwashauri watoto wasitumie dawa za kulevya",Mwenge wa Uhuru 2018

Posted on: September 30th, 2018

Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Rombo Agnes Hokororo(Kulia) akipokea Mwenge wa Uhuru Kutoka kwa Mhe.Mkuu wa Wilaya ya Siha Onesmo Buswelu(Kushoto)

Mwenge wa uhuru 2018 umepokelewa wilaya ya Rombo tarehe 30 Septemba na kufanikiwa kutembelea, kufungua, kuzindua na kuweka mawe ya msingi  katika miradi ya maendeleo yenye thamani ya fedha za kitanzania  Sh.1,359,419,048.70 ambapo kati ya miradi iliyozinduliwa ni kikundi cha kupambana na madawa ya kulevya shule ya sekondari Tarakea.

Akizindua kikundi hicho, Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa Mhandisi Charles Francis Kabeho aliridhishwa na ufahamu mpana waliouonesha vijana hao juu ya madawa ya kulevya, visababishi vya kutumia madawa pamoja na athari zake.

“Ninachukua fursa hii kuwapongeza vijana hawa wanafunzi, kwa kuhakikisha wanakuwa na kikundi cha kuendesha mapambano dhidi ya dawa za kulevya, vijana wameiva, wamefundishika na wameelewa.” Alisema Kabeho

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa  Mhandisi Charles Francis Kabeho akizungumza na kikundi cha kupambana na dawa za kulevya shule ya sekondari Tarakea

Aidha elimu dhidi ya dawa za kulevya katika wilaya ya Rombo inaendelea kutolewa kupitia makundi mbalimbali wakimemo vijana,wanafunzi, polisi jamii, na viongozi wa dini kwa lengo la kukemea na kuondosha uuzaji,usafirishaji na utumiaji wa dawa za kulevya .

Akisoma Risala ya utii ya wananchi  wa wilaya ya Rombo kwa Mhe.Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dk John Pombe Magufuli, Katibu Tawala (W) Abubakari Assenga amesema kuwa katika kipindi cha Januari hadi Agosti mwaka huu wilaya imefanikiwa kukamata dawa za kulevya aina ya bangi na mirungi, ambapo watuhumiwa 38 kati yao wanawake watatu walikamatwa na kufikishwa mahakamani.

Sambamba na hilo, Mhandisi Kabeho alipata fursa ya kutoa ujumbe wa Mbio Za Mwenge ambapo alisema kuwa kauli Mbiu ya Mwenge wa Uhuru mwaka huu inawakumbusha watanzania kuwekeza katika elimu, na serikali ya awamu ya tano imewekeza sana katika miundombinu ya elimu hivyo wazazi na walezi wahakikishe wanawapatia watoto mahitaji yote muhimu bila kusahau uchangiaji wa chakula shuleni.




Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved