Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo anawatangazia Vikundi vya wanawake,vijana na wenye ulemavu ambao majina yao yameorodheshwa hapa chini kuwasilisha marejesho ya mikopo wanayodaiwa na Halmashauri ya Wilaya ya Rombo baada ya Muda mrefu sasa.Halmashauri itaendelea na utaratibu wa kuwashtaki mahakamani baada ya Muda wa siku 30 tangu tarehe ya tangazo hili kupita bila taarifa zaidi.
SOMA MAJINA HAPA: majina ya vikundi vinavyodaiwa Rombo.pdf
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved