Kiongozi wa mbio za Mwenge Kitaifa ndugu Sahili Nyanzabara Geraruma ameweka jiwe la msingi katika ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami ya Stendi, katika mji mdogo wa Mkuu uliopo katika Kata ya Kelamfua Mokala, Tarafa ya Mkuu Wilayani Rombo
Rombo District Council,Mkuu Bomani Street
Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo
Simu: 027-2757101
Simu ya Mkononi: 027-2757101
Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz
Copyright@2019Rombodc.all rights reserved