• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

TUMLINDE MTOTO WA KIKE DED-ROMBO

Posted on: February 13th, 2018


Mkurugenzi  Mtendaji  wilaya ya Rombo  Bi Magreth John ameiomba jamii nzima ya Rombo kumlinda mtoto wa kike dhidi ya mimba za utotoni  ili aweze kutimiza ndoto zake, hayo aliyazungumza katika mkutano wa kuhamasisha shughuli za maendeleo katika  kata ya Motamburu Kitendeni.

Bi Magreth alisisitiza elimu juu ya mimba kwa wanafunzi wa kike ni muhimu kutolewa kuanzia ngazi ya familia ,ni wajibu wa wazazi wote wawili kuhakikisha wanakaa na binti zao kuwaambia ukweli bila kificho kuhusu mabadiliko ya ukuaji na madhara ya mahusiano na jinsia tofauti  kabla ya wakati, kwasababu mtoto anapopata mimba shuleni anakwamisha ndoto zake na ndoto za wazazi walizokuwa nazo kwa binti yao.

Aliongeza kuwa watoto wa kike wanakutana na vishawishi vingi ambavyo baadae vinawaingiza katika matatizo ya kupata ujauzito wakiwa shuleni kitu kinachosababisha  kukatisha masomo yao na kuwaharibia muelekeo wa maisha, lakini wahusika wanaowafanyia unyama huu ni vijana na watu wazima katika maeneo yetu.

“Vijana tuwajali watoto wa kike kama dada zetu/wadogo zetu  tuwalinde, na hili sio kwa vijana hata wazee mnawaharibu mabinti wanaosoma” Alisema Bi Magreth.

Wilaya ya Rombo ni miongoni za Wilaya zenye kiwango kikubwa cha wanafunzi wa kike kupata mimba mashuleni , kitu ambacho kinasababisha kukatisha masomo yao na kuingia katika umama katika umri mdogo , hivyo elimu ya ukuaji na mimba ni muhimu kutolewa kuanzia ngazi ya familia na jamii nzima iwe mlinzi wa mtoto wa kike , kila mtu amuangalie mtoto wa kike kama mwanaye, dada, mjukuu na mtu anaehitaji ulinzi wa jamii nzima.


Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved