• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

KUANZISHWA KWA MAMLAKA YA MAJI SAFI NA USAFI WA MAZINGIRA WILAYA YA ROMBO ILI KUBORESHA HUDUMA YA MAJI

Posted on: September 23rd, 2017

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhe.Mhandisi Gerson Lwenge amesema mchakato wa kuanzishwa kwa Mamlaka ya maji Rombo bado unaendelea na watu wa Idara ya Sheria wanalifanyia kazi,japokuwa  kwa kawaida mchakato huwa unachukua muda mrefu lakini wadau wote walishirikishwa kuanzia ngazi ya Halmashauri na kuunga mkono kuanzishwa kwa Mamlaka ya Maji ya serikali

Aliongeza kuwa, mbali na Kampuni ya Kiliwater ambayo inaendesha na kusimamia miradi ya maji Rombo kulalamikiwa na wananchi,suala la uanzishwaji wa Mamlaka ya maji ni muhimu na hakuna anayeweza kuzuia kwasababu serikali inapotoa fedha kwa ajili ya miradi  ya maji ni lazima fedha hizo zisimamiwe na Mamlaka ya serikali na sio Kampuni binafsi.

Mhe.Mhandisi Lwenge amefanya ziara Wilayani Rombo na kukagua vyanzo vya maji na miradi ya maji inayoendelea na kutolea msisitizo katika suala zima la utunzaji wa mazingira na vyanzo vya maji,ikiwa ni pamoja na kutoa elimu kuhusu uvunaji wa maji ya mvua, hii ni kutokana na vyanzo vilivyopo kuonekana kutokidhi mahitaji hasa katika maeneo ya ukanda wa chini na kuahidi katika miradi itakayobuniwa baadae upo uwezekano wa maji kutoka ziwa Chala kutumika kwa wananchi wa ukanda huo

Malengo ya serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ni wananchi kupata huduma ya maji kwa asilimia 85 katika umbali wa mita 400 ifikapo 2020, ambapo Wilaya ya Rombo mpaka sasa ni asilimia 57 ya wananchi wanaopata huduma hiyo,ikiwa ni wastani mzuri ukilinganisha na baadhi ya wilaya.

Katika mwaka wa fedha 2017/18 serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni mbili na milioni mia tisa (2,900,000,000) ili kukamilisha  miradi inayoendelea katika Wilaya ya Rombo

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved