• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

KIKAO CHA HALMASHAURI KUU YA CCM WILAYA YA ROMBO

Posted on: December 18th, 2023

Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mheshimiwa Raymond Stephen Mwangwala leo tarehe 18/12/2023  amewasilisha taarifa ya utekelezaji wa vipengele vya Ilani ya Chama cha Mapinduzi(CCM) kwa kipindi cha Julai 2022 hadi Juni 2023 katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Rombo.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Rombo, Katibu tawala Wilaya ya Rombo, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo, Katibu wa CCM (w) Rombo, Katibu Mwenezi wa CCM (w) Rombo,Wakuu wa Idara Mbalimbali pamoja na Wajumbe wa Kamati ya Halmashauri Kuu Wilaya ya Rombo katika uwasilishaji wa taarifa hiyo.

Mkuu wa wilaya amepitia vipengele hivyo ambavyo ni Hali ya kiuchumi katika wilaya, Kupambana na umaskini na uwezeshaji wa wananchi kiuchumi, Mfuko wa Maendeleo ya jamii TASAF, Uchumi wa rasilimali maji, Vyama vya ushirika na changamoto zake, Kilimo, Ufugaji, Uvuvi , Viwanda, Biashara, Mawasiliano, Madini, Utalii, Maliasili, Ardhi, Ukimwi, Ulinzi na Usalama, Mapambano dhidi ya Rushwa, Utamaduni Sanaa na michezo pamoja na Usafirishaji na Usafiri.

Pia Mkuu wa Wilaya amewasilisha taarifa za Utekelezaji wa Miradi katika sekta mbalimbali kama  vile ROMBOWSSA ,TARURA,TANESCO,Elimu Msingi na Sekondari,Afya na Utawala ambapo miradi mingi ya kimaendeleo katika wilaya ya Rombo Imekamilika na mingine michache ikiwa katika hatua za Mwisho za Utekelezaji.

Aidha kwa Changamoto mbalimbali ambazo zimeibuliwa na Wajumbe katika kikao hicho hasa katika miundombinu ya barabara na Umeme, Vyama vya Ushirika na Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF kwa pamoja zimeahidiwa kufanyiwa kazi kwa wakati.


Pamoja na hayo,Mkuu wa Wilaya amepongeza kazi kubwa iliyofanywa katika utekelezaji wa miradi mbalimbali huku akimpongeza Mkuu wa wilaya aliyepita kwa kazi kubwa aliyoifanya kwenye utekelezaji huo wa miradi ya Kimaendeleo ya katika wilaya yetu.

Pia, Mkuu wa wilaya  ameomba Ushirikiano,kushauriana  na kusaidiana ili kufikia katika malengo tuliyojiwekea katika wilaya yetu ya Rombo.

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved