• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za watumishi |
    • Malalamiko |
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo
Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali Za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Rombo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
  • Utawala
    • Idara
      • Fedha na Biashara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Mipango na Takwimu
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Usafi na Mazingira
      • Ardhi na Maliasili
      • Utumishi na Utawala
      • Afya
    • Kitengo
      • TEHAMA
      • Manunuzi na Ugavi
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Nyuki
      • Uchaguzi
    • Muundo wa Taasisi
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Viwanda
  • Huduma Zetu
    • maji
    • Elimu
    • Watumishi
    • Kilimo
    • Afya
    • Mifugo
  • Madiwani
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Ratiba ya Vikao vya Kisheria
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi Mipya
  • Machapisho
    • Fomu
    • Sheria Ndogo
    • Ripoti
    • Taratibu
    • Taarifa za Fedha
      • Taarifa ya makisio ya Mapato
      • Taarifa ya Mapato Halisi
      • Taarifa ya Matumizi
      • MTEF
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Video
    • Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Hotuba

Kamati ya lishe ya Halmshauri ya Wilaya ya Rombo yafanya kikao cha cha utekelezaji wa mkataba wa lishe

Posted on: May 25th, 2023

Divisheni ya Afya, Usatawi wa Jamii na Lishe imekaa kakao cha robo mwaka ya tatu (jan -mach 2023) na kamati ya Lishe ya Halamashauri ya Wilaya ya Rombo  leo tarehe 25 Mei2023 katika ukumbi wa vikao Huruma Hospitali. 

Mwl. Charles Mganga aliyekuwa mwenyekiti wa kikao hicho akimwakilisha Mkurugenzi, aliwaongoza wajumbe kutoka divisheni mbalimbali waliohudhuria kikao hicho kilichokuwa na malengo ya kupokea taarifa ya robo mwaka  kutoka seksheni zifuatazo;- 

Seksheni ya Lishe, 

Sekheni ya Kilimo,

Sekesheni ya Mifugo na Uvuvi,

Divisheni ya Elimu ya Awali Msingi na Sekondari 

Divisheni ya Maendeleo ya Jamii.


Afisa lishe wa Halmashauri ya Rombo aliwasilisha taarifa ya utekelezaji wa viashiria vya mkatatba wa lishe katika kipindi cha mwezi Januari hadi Machi ambapo katika taarifa hiyo yafuatayo yalikuwa ni baadhi ya mafanikio;-

Ukaguzi wa maeneo mbalimbali yanayoshughulika na utengenezaji, uandaaji uhifadhi, na usambazaji kama vile mabucha, vichinjio, maduka ya vyakula. Lakin pia shughuli hii ilifanikiwa kufanyika kwa kushirikiana na maafisa wa afya mifugo na kilimo. 

Utoaji wa matibabu kwa watoto wenye umri chini ya miaka motano (5), elimu ya ulishaji wa watoto wachanga na wadogo kwa kina mama na nwalezi  katika vituo vya huduma za afya huku vituo takribani 38 vya kutolea huduma vikifikiwa katika utoaji huo wa elimu.

Ukutoa vidonge vya madini chuma na Asidi ya Filiki kwa kina mama wajawazito , utoaji wa chakula kwa wanafinzi shule za msing na sekondari zaidi sana upimaji wa uwepo wa madini joto katika chumvi.

Pamoja na mafanikio hayo bado kulikuwepo changamoto zilizoikumba seksheni ya lishe katika utekelezaji kama ifuatavyo;-

Hamasa ndogo ya wadau wanaojishughulisha na huduma za lishe katika Halmashauri

Upungufu wa vifaa vya upimaji madini joto .

Hata hivyo divisheni ya elimu nayo iliwasilisha taarifa ya utekelezaji ikiwa ni moja kati ya divisheni mtambuka katika utekelezaji wa mkataba wa lishe katika Halmashari.

Katika taarifa yao iliyowasilishwa katika kamati walionyesha mafanikio na changamoto zao kama ifuatavyo


Wametembelea shule 7 zinazofuga ngombe na kuzidi kuhamasisha ulimaji wa mboga mboga kwajili ya kuboresha lishe shuleni.

Upandaji wa miti ya matunda mbalimbali na kila shule awepo walau mwalimu mmoja wa afya na viranja wa afya katika shule ili kuzidi kutilia mkazo katika swala zima la lishe shuleni.

Kwa wanafunzi wenye mahitaji maalumu kutengewa bajeti yao yenye kiapaumbele cha kuhakikisha wanapata lishe Bora 

Pamoja na mafanikio waliyyapata katika utekelezaji wa mkataba wa lishe Divisheni ya Elimu, pia ilikumbana na changamoto kama ifuatavyo;-

Uhaba wa maji hasa kipindi cha kiangazi ambacho husababisha ukame ambao hurudisha nyuma jitihada.

Uhaba wa maeneo katika baadhi ya shule kupelekea hata shule  hukosa ata eneo la kupanda mboga mboga na ukosefu wa majani ya kulisha mifugo kama ngombe.

Baadhi ya wazazi kutokuwa tayari kutoa michango ya upatikanaji wa lishe  kwa watoto wao shuleni.


Aidha katika kikao hicho wajumbe walikubaliana katika kuongeza jitihada zaidi katika kiboresha utekelezaji ili jamii nzima iweze kupata elimu ya kutosha kuhusu umuhimu wa lishe katika kulinda afya bora

Matangazo

  • MATOKEO YA USAHILI WA WALIOOMBA KAZI YA KUKUSANYA MAPATO NA KAZI YA USAFI August 27, 2024
  • TANGAZO LA UUZAJI WA VIWANJA VYA HALMASHAURI YA WILAYA YA ROMBO June 14, 2024
  • TANGAZO LA MNADA WA HADHARA August 26, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI YA AJIRA YA MKATABA July 16, 2024
  • Ona Zote

Habari Mpya

  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • KARIBU KWENYE BARAZA LA MADIWANI.

    May 07, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • ZAID YA SHILINGI MILIONI MIA SITA AROBAINI NA MOJA YA KABIDHIWA KWA VIKUNDI 52

    April 17, 2025
  • Ona Zote

Video

Maafisa Elimu Kata wakizifanyia Majaribio Pikipiki
Video Zaidi

Viunganishi Vya Haraka

  • Muundo wa Halmashauri
  • Wasiliana Nasi Kwa
  • Miladi iliyokamilika

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • MFUMO WA TAUSI
  • Ffars
  • Tamisemi
  • Idara ya Takwimu (NBS)

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Rombo District Council,Mkuu Bomani Street

    Sanduku la Posta: P.o Box 52,Mkuu,Rombo

    Simu: 027-2757101

    Simu ya Mkononi: 027-2757101

    Barua Pepe: ded@rombodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Copyright@2019Rombodc.all rights reserved